Saturday 12 April 2014

MADHARA YA MAFURIKO DAR...POLENI SANA NDUGU ZANGU!

Mkazi wa Bonde la Mpunga - msasani, Dar es Salaam akiangalia hali ya mafuriko na baadhi ya vitu vyake alivyofanikiwa kuviokoa. Hii ni baada ya mvua kubwa inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam




Hivi ndivyo eneo la maduka ya Mayfair Plaza, Mikocheni lilivyoonekana kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyeesha jijini Dar es Salaam

Wakazi wa Tabata Kisiwani wakipita katikati ya reli iliyofurika maji kutokana na mvua zilizonyesha Dar es Salaam

Mfanyabiashara ndogondogo katika eneo la Tabata Relini jirani na ofisi za Mwananchi Communications Limited akiwa amekaa juu ya ukingo wa daraja baada ya eneo hilo kufurika maji kutokana na mvua iliyonyesha Dar es Salaam

PICHA KWA HISANI YA DAR 24...

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!